VMware imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya vSphere Hypervisor (ESXi), Workstation Pro, Workstation Player, Fusion and tools. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za VMware za kiusalama. Bofya hapa kwa taarifa zaidi…
Soma Zaidi »Mozilla Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama
Mozilla imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya Firefox na Firefox ESR iliyoathirika. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za Mozilla za kiusalama kwa kupitia Firefox na Firefox ESR. Kwa taarifa zaidi: Firefox na Firefox ESR
Soma Zaidi »WordPress Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama
WordPress 4.6.1 imetolewa na taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya WordPress. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za WordPress za kiusalama. Bofya hapa kwa taarifa zaidi…
Soma Zaidi »Microsoft Imetoa Taarifa mpya za Kiusalama
Microsoft imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya Microsoft iliyoathirika. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia blogu ya Microsoft na kutumia taarifa mpya zilizo muhimu. Bofya hapa kwa taarifa Zaidi…
Soma Zaidi »Taarifa Mpya ya Google kwa Chrome
Google imetoa toleo 48.0.2564.116 kwa Windows, Mac na Linux. Toleo hili jipya linakabili uwezekano wa mshambulizi kutawala mfumo ulioathirika. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia blogu ya Google Chrome na kutumia taarifa mpya zilizo muhimu. Bofya hapa kwa taarifa Zaidi.
Soma Zaidi »Drupal Imetoa Taarifa mpya za Usalama
Drupal imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbal mbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala tovuti iliyoathirika. Toleo lililoathirika:- (a) Matoleo ya Drupal core 7.x yaliyotoka kabla ya 7.39 (b) Matoleo ya Drupal core 6.x yaliyotoka kabla ya 6.37 Taarifa mpya zifuatazo zinapatikana:- (a) Drupal core 6.37 kwa watumiaji wa …
Soma Zaidi »CISCO Imetoa Taarifa mpya za Usalama
CISCO imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbali mbali unaoweza kupokonywa kwa nguvu kidijiti mfumo iliyoathirika ni Wireless LAN controller, Identity Services Engineer Software na Aironet 1800 Series Access Points.
Soma Zaidi »