A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Home / Mwenendo wa Sasa / Drupal Imetoa Taarifa mpya za Usalama

Drupal Imetoa Taarifa mpya za Usalama

Drupal imetoa   taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbal mbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala tovuti iliyoathirika.

Toleo lililoathirika:-

(a) Matoleo ya Drupal core 7.x yaliyotoka kabla ya 7.39
(b) Matoleo ya Drupal core 6.x yaliyotoka kabla ya 6.37

Taarifa mpya zifuatazo zinapatikana:-

(a) Drupal core 6.37 kwa watumiaji wa 6.x
(b) Drupal core 7.39 kwa watumiaji wa 7.x

Watumiaji na waendeshaji  wanahimizwa kuangalia huo ushauri na kutumia taarifa mpya zilizo muhimu.

Bofya Hapa kwa taarifa zaidi.

Check Also

VMware Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

VMware imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo …