A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site

Tahadhari

VMware Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

VMware imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya vSphere Hypervisor (ESXi), Workstation Pro, Workstation Player, Fusion and tools. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za VMware za kiusalama. Bofya hapa kwa taarifa zaidi…

 

Mozilla Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

Mozilla imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya Firefox na Firefox ESR iliyoathirika. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za Mozilla za kiusalama kwa kupitia Firefox na Firefox ESR.

 Kwa taarifa zaidi: Firefox na Firefox ESR

WordPress Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

WordPress 4.6.1 imetolewa na taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya WordPress. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za WordPress za kiusalama. Bofya hapa kwa taarifa zaidi…

 

Microsoft Imetoa Taarifa mpya za Kiusalama

Microsoft imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya Microsoft iliyoathirika. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia blogu ya Microsoft na kutumia taarifa mpya zilizo muhimu. Bofya hapa kwa taarifa Zaidi…

Taarifa Mpya ya Google kwa Chrome

Google imetoa toleo 48.0.2564.116 kwa Windows, Mac na Linux. Toleo hili jipya linakabili uwezekano wa mshambulizi kutawala mfumo ulioathirika.

Watumiaji na waendeshaji  wanahimizwa kupitia blogu ya Google Chrome na kutumia taarifa mpya zilizo muhimu.

Bofya hapa kwa taarifa Zaidi.