A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Home / news / Taarifa Kwa Umma

Taarifa Kwa Umma

TCA_interconsult Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu ikijulikana kama SOFTBOX TANZANIA iliyosemekana iko kwenye Google PLAYSTORE.

Ilidaiwa kuwa program (Application) hiyo ya SOFTBOX TANZANIA ilikuwa na uwezo wa kunasa au kuingilia mazungumzo ya simu, ujumbe mfupi pamoja na mawasiliano ya WhatsApp kutoka kwenye simu ya mtu binafsi.
Soma zaidi :Public Notice Softbox app – SWAHILI

 

 

Check Also

CAPACITY BUILDING: THREAT DETECTION AND INCIDENT HANDLING AND RESPONSE TRAINING

In effort to ensure a high and effective level of Network and Information Security within …