A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site

Jitihada za Sasa

VMware Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

VMware imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya vSphere Hypervisor (ESXi), Workstation Pro, Workstation Player, Fusion and tools. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za VMware za kiusalama. Bofya hapa kwa taarifa zaidi…  

Soma Zaidi »

Mozilla Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

Mozilla imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya Firefox na Firefox ESR iliyoathirika. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za Mozilla za kiusalama kwa kupitia Firefox na Firefox ESR.  Kwa taarifa zaidi: Firefox na Firefox ESR

Soma Zaidi »

WordPress Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

WordPress 4.6.1 imetolewa na taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya WordPress. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za WordPress za kiusalama. Bofya hapa kwa taarifa zaidi…  

Soma Zaidi »

Microsoft Imetoa Taarifa mpya za Kiusalama

Microsoft imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya Microsoft iliyoathirika. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia blogu ya Microsoft na kutumia taarifa mpya zilizo muhimu. Bofya hapa kwa taarifa Zaidi…

Soma Zaidi »

Taarifa Mpya ya Google kwa Chrome

Google imetoa toleo 48.0.2564.116 kwa Windows, Mac na Linux. Toleo hili jipya linakabili uwezekano wa mshambulizi kutawala mfumo ulioathirika. Watumiaji na waendeshaji  wanahimizwa kupitia blogu ya Google Chrome na kutumia taarifa mpya zilizo muhimu. Bofya hapa kwa taarifa Zaidi.

Soma Zaidi »

Drupal Imetoa Taarifa mpya za Usalama

Drupal imetoa   taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbal mbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala tovuti iliyoathirika. Toleo lililoathirika:- (a) Matoleo ya Drupal core 7.x yaliyotoka kabla ya 7.39 (b) Matoleo ya Drupal core 6.x yaliyotoka kabla ya 6.37 Taarifa mpya zifuatazo zinapatikana:- (a) Drupal core 6.37 kwa watumiaji wa …

Soma Zaidi »

CISCO Imetoa Taarifa mpya za Usalama

CISCO imetoa  taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbali mbali unaoweza kupokonywa kwa nguvu kidijiti mfumo iliyoathirika ni Wireless LAN controller, Identity Services Engineer Software na Aironet 1800 Series Access Points.

Soma Zaidi »

Jiunge Kupokea Taarifa Mpya za Mara kwa Mara

sub2.fw

Muhtasari wa taarifa za habari za usalama wa mtandao za TZ-CERT kutoka duniani kote