A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Home / Mwenendo wa Sasa / VMware Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

VMware Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

VMware imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya vSphere Hypervisor (ESXi), Workstation Pro, Workstation Player, Fusion and tools. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za VMware za kiusalama. Bofya hapa kwa taarifa zaidi…

 

Check Also

Mozilla Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

Mozilla imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo …