A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Home / admin

admin

VMware Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

VMware imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya vSphere Hypervisor (ESXi), Workstation Pro, Workstation Player, Fusion and tools. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za VMware za kiusalama. Bofya hapa kwa taarifa zaidi…  

Soma Zaidi »

Mozilla Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

Mozilla imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya Firefox na Firefox ESR iliyoathirika. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za Mozilla za kiusalama kwa kupitia Firefox na Firefox ESR.  Kwa taarifa zaidi: Firefox na Firefox ESR

Soma Zaidi »

WordPress Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

WordPress 4.6.1 imetolewa na taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya WordPress. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia taarifa za WordPress za kiusalama. Bofya hapa kwa taarifa zaidi…  

Soma Zaidi »

Microsoft Imetoa Taarifa mpya za Kiusalama

Microsoft imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya Microsoft iliyoathirika. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia blogu ya Microsoft na kutumia taarifa mpya zilizo muhimu. Bofya hapa kwa taarifa Zaidi…

Soma Zaidi »

Taarifa Kwa Umma

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu ikijulikana kama SOFTBOX TANZANIA iliyosemekana iko kwenye Google PLAYSTORE. Ilidaiwa kuwa program (Application) hiyo ya SOFTBOX TANZANIA ilikuwa na uwezo wa kunasa au kuingilia mazungumzo ya simu, ujumbe mfupi pamoja na mawasiliano ya WhatsApp kutoka …

Soma Zaidi »

Symantec yatoa ‘Ripoti ya Tishio 2015’ la Usalama wa Intaneti

Shirika la Symantec limetoa Ripoti ya Tishio la Usalama wa Intaneti  ya mwaka 2015. Kutoka uwezekano wa kushambuliwa mitandao ya jamii hadi kupokonywa kwa nguvu kidijiti,  ripoti ya Symantec ya Matishio ya Usalama wa Intaneti inatumia unafuu wa wingi wa data na ndiyo nyenzo unayohitaji   ili kugundua kwa haraka matishio …

Soma Zaidi »

Hitilafu kwenye WordPress ecommerce Plugin imefichua tovuti zaidi ya 5,000

Zaidi ya tovuti za biashara-mtandao (eCommerce) 5,000  zinazoendeshwa na WordPress zimefichuliwa kutokana na upungufu wakati wa kujiunga. Watafiti wa High-Tech Bridge  wamebainisha udhaifu kwenye  TheCartPress,  program tumizi ya kujiunga na  biashara ya kielektroni  iliyowekwa kwenye tovuti  zaidi ya 5,000 za WordPress.  Kwa mujibu wa wataalam,  kujiunga kunakabiliwa na kasoro za …

Soma Zaidi »

PF Sense

Katika dunia ya leo yenye ongezeko la mashambulizi ya mtandao hatuwezi kuishi bila kinga ya virusi. Kinga ya virusi ni mfumo wa usalama wa mtandao wa maunzi ngumu au program tumizi  iliyotengenezwa kukataza  kuingia sehemu iliyozuiliwa ya mtandao. Katika hali ya kawaida, huduma ambazo hazitakiwi kufikiwa katika eneo dogo la …

Soma Zaidi »

SNORT

SNORT ni mfumo wa bure na  ulio wazi wa Kugundua Kuvamiwa na Kuzuia  uliobuniwa na Sourcefire. SNORT inatumia mchanganyiko wa saini, itifaki na ukaguzi wa kasoro kugundua upitaji wa vitu viharibifu. SNORT inatekeleza uwekaji kumbukumbu wa paketi za data, kuchambua kumbukumbu, kutafuta maudhui, na kulinganisha kwa wakati kuweza kugundua mashambulizi  …

Soma Zaidi »