Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu ikijulikana kama SOFTBOX TANZANIA iliyosemekana iko kwenye Google PLAYSTORE. Ilidaiwa kuwa program (Application) hiyo ya SOFTBOX TANZANIA ilikuwa na uwezo wa kunasa au kuingilia mazungumzo ya simu, ujumbe mfupi pamoja na mawasiliano ya WhatsApp kutoka …
Soma Zaidi »Symantec yatoa ‘Ripoti ya Tishio 2015’ la Usalama wa Intaneti
Shirika la Symantec limetoa Ripoti ya Tishio la Usalama wa Intaneti ya mwaka 2015. Kutoka uwezekano wa kushambuliwa mitandao ya jamii hadi kupokonywa kwa nguvu kidijiti, ripoti ya Symantec ya Matishio ya Usalama wa Intaneti inatumia unafuu wa wingi wa data na ndiyo nyenzo unayohitaji ili kugundua kwa haraka matishio …
Soma Zaidi »Hitilafu kwenye WordPress ecommerce Plugin imefichua tovuti zaidi ya 5,000
Zaidi ya tovuti za biashara-mtandao (eCommerce) 5,000 zinazoendeshwa na WordPress zimefichuliwa kutokana na upungufu wakati wa kujiunga. Watafiti wa High-Tech Bridge wamebainisha udhaifu kwenye TheCartPress, program tumizi ya kujiunga na biashara ya kielektroni iliyowekwa kwenye tovuti zaidi ya 5,000 za WordPress. Kwa mujibu wa wataalam, kujiunga kunakabiliwa na kasoro za …
Soma Zaidi »Mwelekeo Kiteknolojia 2013 – Hakuna kinga dhidi ya mdukizi
Mashirika mengi yana hisia potevu ya usalama kutokana uwekazaji duni kwenye zanaa za usalama. Wanategemea sana kwa firewalls, antivirus, intrusion detection systems (IDS) na intrusion prevention systems (IPS), hata hivyo zanaa hizo yamekosa ufanisi juu ya mbinu za kisasa
Soma Zaidi »Ripoti ya Senate ya usalama wa mtandao ni kisa cha kutisha
Wiki iliyopita, Kamati ya wachache ya Seneti ya Usalama wa Ndani na Shughuli za Serikali ilitoa tathmini ya kurasa 19 inayoitwa : Rekodi ya Ufuatiliaji ya Serikali ya Shirikisho kuhusu Usalama wa Mtandao na Miundombinu Muhimu’. Seneta anayestaafu, Tom Coburn, R-Okla, alifadhili tathmini hiyo. Tathmini hiyo yenye maelezo ya ufafanuzi …
Soma Zaidi »Mwelekeo wa Usalama wa Mtandao 2014
Kufuatia kutangazwa sana kwa ukubwa wa wizi wa data wa kampuni ya Target Inc. mwishoni mwa 2013, kampuni nyingi zinatumia nguvu mpya kuimarisha hatua za usalama wa mtandao. Mwamko wa kuwa taarifa za kidijiti ziko hatarini umeenea kwenye biashara za ukubwa mbali mbali hadi watu binafsi,ambao wameshindwa kuvumilia mwaka uliopita. …
Soma Zaidi »