A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Home / Habari / Hitilafu kwenye WordPress ecommerce Plugin imefichua tovuti zaidi ya 5,000

Hitilafu kwenye WordPress ecommerce Plugin imefichua tovuti zaidi ya 5,000

wordpressZaidi ya tovuti za biashara-mtandao (eCommerce) 5,000  zinazoendeshwa na WordPress zimefichuliwa kutokana na upungufu wakati wa kujiunga. Watafiti wa High-Tech Bridge  wamebainisha udhaifu kwenye  TheCartPress,  program tumizi ya kujiunga na  biashara ya kielektroni  iliyowekwa kwenye tovuti  zaidi ya 5,000 za WordPress.  Kwa mujibu wa wataalam,  kujiunga kunakabiliwa na kasoro za kiusalama zinazoweza kutumiwa na  wavamizi kuingiza taarifa zinazoangaliwa na wengine  (XSS), utekelezaji kwa nguvu  wa msimbo wa PHP na utoaji nje wa data nyeti.

Bofya hapa kwa taarifa zaidi.

Check Also

Taarifa Kwa Umma

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu …