A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site

Habari

Taarifa Kwa Umma

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu ikijulikana kama SOFTBOX TANZANIA iliyosemekana iko kwenye Google PLAYSTORE. Ilidaiwa kuwa program (Application) hiyo ya SOFTBOX TANZANIA ilikuwa na uwezo wa kunasa au kuingilia mazungumzo ya simu, ujumbe mfupi pamoja na mawasiliano ya WhatsApp kutoka …

Soma Zaidi »

Symantec yatoa ‘Ripoti ya Tishio 2015’ la Usalama wa Intaneti

Shirika la Symantec limetoa Ripoti ya Tishio la Usalama wa Intaneti  ya mwaka 2015. Kutoka uwezekano wa kushambuliwa mitandao ya jamii hadi kupokonywa kwa nguvu kidijiti,  ripoti ya Symantec ya Matishio ya Usalama wa Intaneti inatumia unafuu wa wingi wa data na ndiyo nyenzo unayohitaji   ili kugundua kwa haraka matishio …

Soma Zaidi »

Hitilafu kwenye WordPress ecommerce Plugin imefichua tovuti zaidi ya 5,000

Zaidi ya tovuti za biashara-mtandao (eCommerce) 5,000  zinazoendeshwa na WordPress zimefichuliwa kutokana na upungufu wakati wa kujiunga. Watafiti wa High-Tech Bridge  wamebainisha udhaifu kwenye  TheCartPress,  program tumizi ya kujiunga na  biashara ya kielektroni  iliyowekwa kwenye tovuti  zaidi ya 5,000 za WordPress.  Kwa mujibu wa wataalam,  kujiunga kunakabiliwa na kasoro za …

Soma Zaidi »

Ripoti ya Senate ya usalama wa mtandao ni kisa cha kutisha

Wiki iliyopita, Kamati ya wachache ya Seneti ya Usalama wa Ndani na Shughuli za Serikali ilitoa tathmini ya kurasa 19  inayoitwa : Rekodi ya Ufuatiliaji ya Serikali ya Shirikisho kuhusu Usalama wa Mtandao na Miundombinu Muhimu’. Seneta anayestaafu, Tom Coburn, R-Okla, alifadhili tathmini hiyo. Tathmini hiyo yenye maelezo ya ufafanuzi  …

Soma Zaidi »

Mwelekeo wa Usalama wa Mtandao 2014

Kufuatia kutangazwa sana kwa ukubwa wa wizi wa data wa kampuni ya Target Inc. mwishoni mwa 2013, kampuni nyingi zinatumia nguvu mpya kuimarisha hatua za usalama wa mtandao. Mwamko wa kuwa taarifa za kidijiti ziko hatarini umeenea kwenye biashara za ukubwa mbali mbali hadi watu binafsi,ambao wameshindwa kuvumilia mwaka uliopita. …

Soma Zaidi »