A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Home / Habari / Symantec yatoa ‘Ripoti ya Tishio 2015’ la Usalama wa Intaneti

Symantec yatoa ‘Ripoti ya Tishio 2015’ la Usalama wa Intaneti

symantecShirika la Symantec limetoa Ripoti ya Tishio la Usalama wa Intaneti  ya mwaka 2015. Kutoka uwezekano wa kushambuliwa mitandao ya jamii hadi kupokonywa kwa nguvu kidijiti,  ripoti ya Symantec ya Matishio ya Usalama wa Intaneti inatumia unafuu wa wingi wa data na ndiyo nyenzo unayohitaji   ili kugundua kwa haraka matishio ya dijiti
Bofya hapa kwa taarifa zaidi.

Check Also

Taarifa Kwa Umma

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu …