A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Give your website a premium touchup with these free WordPress themes using responsive design, seo friendly designs www.bigtheme.net/wordpress
Home / Microsoft Imetoa taarifa mpya za Kiusalama

Microsoft Imetoa taarifa mpya za Kiusalama

Microsoft imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo ya Microsoft iliyoathirika. Watumiaji na waendeshaji wanahimizwa kupitia blogu ya Microsoft na kutumia taarifa mpya zilizo muhimu. Bofya hapa kwa taarifa Zaidi…