A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Home / Mwenendo wa Sasa / CISCO Imetoa Taarifa mpya za Usalama

CISCO Imetoa Taarifa mpya za Usalama

CISCO imetoa  taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbali mbali unaoweza kupokonywa kwa nguvu kidijiti mfumo iliyoathirika ni Wireless LAN controller, Identity Services Engineer Software na Aironet 1800 Series Access Points.

Taarifa ya mfumo ulioathirika zifuatazo zinapatikana:-

Bofya hapa kwa taarifa zaidi juu ya kuathiriwa kwa Wireless LAN controller unauthorized-access

Bofya hapa kwa taarifa zaidi juu ya kuathiriwa kwa Aironet 1800 SERIES Access Point

Bofya hapa kwa taarifa zaidi juu ya kuathiriwa kwa Aironet 1800 Series Access Point default

Check Also

VMware Imetoa Taarifa Mpya za Kiusalama

VMware imetoa taarifa mpya za kiusalama za kushughulikia uwezekano mbalimbali unaoweza kuruhusu mshambuliaji kutawala mifumo …