Shirika la Symantec limetoa Ripoti ya Tishio la Usalama wa Intaneti ya mwaka 2015. Kutoka uwezekano wa kushambuliwa mitandao ya jamii hadi kupokonywa kwa nguvu kidijiti, ripoti ya Symantec ya Matishio ya Usalama wa Intaneti inatumia unafuu wa wingi wa data na ndiyo nyenzo unayohitaji ili kugundua kwa haraka matishio ya dijiti
Bofya hapa kwa taarifa zaidi.
A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Check Also
Taarifa Kwa Umma
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa Programu (Application) ya simu …