A huge collection of 3400+ free website templates JAR theme com WP themes and more at the biggest community-driven free web design site
Give your website a premium touchup with these free WordPress themes using responsive design, seo friendly designs www.bigtheme.net/wordpress
Home / Maskani / Kanusho

Kanusho

Taarifa yoyote iliyochapishwa kwenye tovuti hii na Tanzania – CERT pamoja na mengine yakiwemo mapendekezo yaliyotolewa na Tanzania CERT kwa watumiaji  katika kutatua matukio  ya kiusalama wa kompyuta, yametolewa  katika misingi ya ‘kama yalivyo.’

Makosa au kuachwa kwake kunaweza kutokea wakati wa kutayarisha taarifa zilizomo ndani ya tovuti hii .Kwa hiyo kabla ya kutegemea taarifa zilizochapishwa, mtumiaji  ni lazima awe huru kuhakiki usahihi, ukamilifu na umuhimu kwa matumizi yao na kwamba ni taarifa za hivi karibuni.

Tanzania CERT haikuhakikishii aina yoyote ya matumizi ya taarifa zilizochapishwa kwa kuelezwa au kudhaniwa. Taarifa iliyochapishwa inatolewa kama taarifa ya jumla tu na kwa kuelewa kwamba Tanzania CERT haitoi ushauri wa kitaalamu kuhusu jambo mahususi.

Taarifa zilizochapishwa humu zinaweza kujumuisha maoni au mapendekezo ya chombo kingine na si lazima yawe ni maoni ya Tanzania CERT, au kuonyesha ahadi kwa hatua ya kuchukuliwa.

Kama una maswali yoyote kuhusu taarifa zilizochapishwa ndani ya tovuti ya Tanzania CERT tafadhali wasiliana nasi kupitia info@tzcert.go.tz